Recent content by Robert S Gulenga

  1. Robert S Gulenga

    CCM na Serikali wanawahudumia Watanzania walioathirika na mafuriko, Wao wanafanya Maandamano, bado wanahubiri kuaminiwa na Watanzania

    Kuna muda inakupa wakati mgumu kujua kama wako Serious. Yametokea Mafuriko Rufiji, wakatuma Kada wao akawadanganye Wana Rufiji kudai dida, alichokipata hawatakisahau. Yametokea mafuriko Arusha, Mlimba etc hawajawahi hata kusema neno, wameendelea kuhamasisha watu waache kazi watembee...
  2. Robert S Gulenga

    Rais Samia Suluhu Hassan, ni Mnyenyekevu kwa Watu Wote, Tuwaombee na Wasaidizi wake kuanzia ngazi ya Mkoa wawe hivyo

    Ikiwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Mnyenyekevu, Mtu mwenye hofu ya Mungu na anaheshimu lila mtu bila kujali Itikadai. Tuwaombee Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, RAS, DAS na wengineo wanao hudumia Watanzania huku chini waige mfano wa Mkuu wa Nchi, Waige mfano...
  3. Robert S Gulenga

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Kizazi cha kuhoji kwa hoja ndicho tunachotaka, ila sio hiki cha kutukana tu , Uzalendo kea Taifa ni Muhimu kina kirefu
  4. Robert S Gulenga

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Sijasifu vyote mkuu, nimekupa mfano tu namna uboreshaji wa miundo mbinu ilivyo, Serikali imeboresha hospital za Rufaa, hospital za Kanda, Mikoa, Wilaya na Vituo vya Afya kwenye kila kata, maboresho haya yamehusisha ujenzi na ukarabati wa majengo, ununuzi wa magari ya magonjwa, ununuzi wa vifaa...
  5. Robert S Gulenga

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Mkuu uchaguzi ulifanyika, Watanzania walichagua Serikali hii, hizi kelele nyingine ni za Wapinzani tu ambao hawawezi kukubali kushindwa Tindo
  6. Robert S Gulenga

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Huo ndio ukweli, tufundishe Vijana kupinga kwa hoja na sio kwa matusi lebabu11
  7. Robert S Gulenga

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Serikali ya awamu ya sita inafanya kila kitu kuhakikisha Taifa linasonga, Angalia namna huduma za Afya, Shule, etc zinavyoboresha..endelea kuisapoti Serikali def_xcode
  8. Robert S Gulenga

    Vijana si sawa kupinga kila kitu, Somo la Maadili lifundishwe toka darasa la kwanza mpaka Chuo

    Ni muhimu vijana kuwa Wazalendo, Tanzania ni yetu wala sio ya Wakenya, Tanzania itajengwa na Watanzania tu. Vijana ni muhimu kusimama na Serikali yenu, Hakuna kiongozi yeyote ambaye anafanya mambo Kurudisha nyuma nchi yetu. Serikali iliyopo iko kwa mujibu wa katiba, Ina kibali cha Mwenyezi...
  9. Robert S Gulenga

    Poleni Arusha, Watanzania tunawaombea, Serikali iko nanyi

    Hakuna aliyeleta mafuriko, Serikali ya awamu ya Sita iko nanyi kuhakikisha kila mtu anapata huduma za kibinadamu. Kama tulivyokuwa wamoja Rufiji, tuko pamoja Arusha pia. Badala ya kusmbaza chuki, tusambaze upendo, Kule Arusha hakuna JNHPP. Poleni wana Arusha , poleni Wana Rufiji kwa mafuriko...
Back
Top Bottom