Ndg wanajamvi kwa yoyote anayefahamu bei ya vitotozi vya vifaranga naomba anijulishe vinauzwa kiuzwa kwa kiasi gani,maana nataka kuingia kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa kuku.Pia nahitaji ushauri kwa wale wafugaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.