Recent content by mpachi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maduka ya bidhaa za luminac

    Nenda east Africa mart ware,chang'ombe mbozi road au mitaa ya msikiti wa ibadh kuna maduka ya wahindi utapata
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anavimba kitovu wakati wa baridi

    Pole ndugu,mm pia binti yangu alipata tatizo hilo alipokua na miezi miwili.Mpeleke Furaha Clinic ipo Morocco kwa Dr. Masawe atakusaidia.Namshukuru Mungu binti yangu aliponea hapo baada ya kuhangaika sana.Sasa ana miezi mitano na anaendelea vyema kabisa.
Back
Top Bottom