Recent content by The suspender

  1. The suspender

    NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

    Hakika wapinzani wamekua kama vile sio wataalamu wa mambo ya siasa hawana hoja zaidi ya kelele, Matusi na kuzusha hoja Mpeche mpeche zisizo na Mashiko kwenye Masikio ya Watanzania.
  2. The suspender

    Uchaguzi 2020 Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua

    Hoja Hafifu kabisa.. Mawakala tayari wameaminika na Vyama vyao na sidhani kama kuna uhitaji wa kua na simu kwenye vituo na sidhani kama sheria inaelekeza kufanya hivyo.
  3. The suspender

    NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

    Hakika tume imeeleza vizuri.. Wapinzani wajitajitahidi kuzungumza kwa data na waache upoyoshaji wa Mambo ya msingi kama hayaa... Walete hoja zenye mashiko na washindane kwa hoja na sio vihoja na Propaganda za ajabu.
  4. The suspender

    Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

    Hakika Serikali ya Awamu ya Tano imefanya kazi kubwa Mno kwenye sekta ya Madini. Serikali hii inastahidi pongezi kubwa mno hasa kampuni ya TWIGA na Shirika la STAMICO. Magufuli MitanoTena #KuraKwaMagufuli2020 #T2020JPM
  5. The suspender

    Upotoshaji wa dhana ya uhuru ndani ya upinzani

    Umezungumza vyema saana ndugu Mwandishi... Kumekua na Upotoshwaji Mkubwa sana na Wapinzani juu ya swala zima la Uhuru. Jambo hili wanalitumia kwa namna mbaya ya kuleta Mafarakano kwa wananchi w Tanzania. Watanzania hatupo tayari kutumika kisiasa na Wapinzani Uchwara.
  6. The suspender

    Mnara wa Babeli unaanguka

    Amka ndugu kwenye ndoto nzito unayoota. Kwa Mipango gani mliyonayo CDM kuiangusha CCM? Kutukana Mitandaoni huko Twitter? Matusi Majukwaani badala ya kunadi sera na Ilani ya Chama chenu? Amka kumekucha wewe acha kuota ndoto zako za Kimweri na Alinacha.
  7. The suspender

    Uchaguzi 2020 Je, ni nini itakuwa Hatima ya Tanzania chini ya Lissu?

    In short Lissu hawezi kua Rais wa nchi hii tuache hata hizo Assumptions ambazo hazina maana? Anasera gani? Matusi na Chokochoko na Vurugu za kuleta Ugomvi kwa Watanzania wenye Amani kwa zaidi ya Miaka 50 tangu Uhuru? NO! LISSU HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA
  8. The suspender

    Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

    Unazungumzia Maisha yapi yamekua Magumu? Yale ya Mafisadi walioinyonya Tanzania kwa Miaka sasa? Wauzaji wa Madawa na watakatishaji Fedha? Wezi na Viongozi matapeli wa Upinzani? Au Wamachinga na Mama lishe wenye vitambulisho wanaofanya biashara zao kila sehemu bila kusumbuliwa?
  9. The suspender

    Uchaguzi 2020 Gwajima, dharau hizi hutafika popote

    Hoja nyepesi mno na za kipropaganda. GWAJIMA anakubalika na Wananchi wa KAWE hata mkipandikiza chuki zenu na uongo ukweli juu ya mapenzi ya wananchi wa KAWE utabaki palepale na Tarehe 28 October akipewa kura zote ndo mtajua hamjui na Huyo MDEE anaeonekana Jimboni wakati wa kuomba kura, Hajawahi...
  10. The suspender

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

    Hizo ni propaganda za kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba atashinda japokuwa kwa nafsi yake anajua atapigwa chini iwa tofauti kubwa ya Kura na JPM. Anataka kuleta machafuko kutokana na support anayopewa na Mataifa ya Kigeni na Mabeberu ambao wanamfadhili kwenye kampeni zake.
  11. The suspender

    Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

    Anakubalika kwa percentage ngap? Fuatilia statistics zilizotolewa na IPSOS juu ya wingi wa watu waliohudhuria kwenye vikao vya Kampeni vya CDM na CCM kanda ya ziwa hasa Mwanza. Ni asilimia 90% kwa CCM na 10% kwa CDM. Ww huko kukubalika kwako umepima kwa metric gani? Kama hauna data hauna haki...
  12. The suspender

    Uchaguzi 2020 Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

    Hakuna Jipya lolote hapo zaidi ya kiongozi wa kidini Mkubwa kama huyu kutumika kisiasa. Ana waumini wa Vyama tofauti na kwa Maana hiyo anawagawa Waumini. Kama yeye binafsi ni mwanachama wa CDM ibaki moyoni mwake ila sio kufanya hivyo kanisani kwenye Umma wa Waumini wa vyama tofauti.
  13. The suspender

    Je, wapinzani hawapotoshi kuhusu vitambulisho vya ujasiliamali?

    Umesema vyema sana. Upinzani wanapotosha Maana halisi ya kuanzishwa kwa vitambulisho vya wajasiriamali. Wanatachotaka ni kuteka kundi hili kubwa la Watanzania kwa nia ya kupata kura zao bila kutumia Sera kamili zenye Mashiko. Kushinda na JPM hawataweza. #TumetekelezaKwaKishindo...
Back
Top Bottom