Recent content by Mosesmufasa

  1. M

    nokia n8

    Nakupa elfu 90 mkuu
  2. M

    Natafuta simu nokia, sony ericsson yenye megapixel 8

    Habari za muda wakuu, natafuta simu za kizamani za nokia au sony ericsson kama nokia n86 zenye camera yenye megapixel 8 au zaidi hata isipokua smartphone iwe na uwezo huo wa camera. Mwenye nayo aweke namba za mawasiliano nitamtafuta. Napatikana moshi na arusha. Asante
  3. M

    Basi la abiria kubwa linauzwa

    Mkuu kwani unataka kulinunua hilo basi? Mwenye basi kashasema uende na fundi kama basi bovu litajulikana tu
  4. M

    Samsung galaxy pocket inauzwa

    Fanya 65 mkuu
  5. M

    Samsung galaxy pocket inauzwa

    0768268774, Nipo arusha
  6. M

    Samsung galaxy pocket inauzwa

    Nauza simu aina ya Samsung galaxy pocket. Bei tshs. 70000 tu.Simu ipo rooted tayari, pia imewekewa rom ya android 4.1 (jellybean) na application zingine kama whatsapp,telegram,viber, instagram. Mawasiliano pm au piga namba 0768268774,Nipo Arusha. Specifications:GENERAL 2G Network GSM 850...
Back
Top Bottom