Recent content by mongah

  1. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Nitajitahidi ngoja nifanye hili
  2. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Hospital ipi je haswa maana nyingine nimeenda na ni kubwa hapa DSM
  3. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Nimeona kwa kioo, napata maumivu na nilienda hospital kwa ENT akaconfirm hilo Nimefanya tonsillectomy hospital Dawa nimepewa nyingi sana zikiwemo Amoxiclav, vingine vidonge vidogodogo kama 2 months, na za vidonda vya tumbo jina limentoka kidogo Mwaka kwa sasa
  4. M

    Dawa ya vidonda kooni

    Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo. Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao. Au hata ya hospitali ni sawa Note: Mi sijawahi kuenda chumvini hivo usiangaike kutoa comment kwa hili.
Back
Top Bottom