Recent content by mohammed saleh

  1. M

    Natafuta mtu asimamie biashara ya kukodisha magari

    Nataka kuanza hiyo biashara, kwa hiyo mwenye uzoefu wa hiyo kazi anaweza kuniachia contact au kunipm Na sina mpango wa kuwa na kigari kimoja tu
  2. M

    Natafuta mtu asimamie biashara ya kukodisha magari

    Habari, natafuta mtu wa kusimamia biashara ya kukodisha magari. Anatakiwa mtu ambaye Ana experience ya hiyo kazi
  3. M

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza iPhone 6 16gb $650 na 6s 16gb $750 full seal box Rangi unachagua Maongezi yapo
  4. M

    Nauza iPhone 6 na 6s

    Nauza iPhone 6 16gb $650 na 6s 16gb $750 full seal box Rangi unachagua Maongezi yapo
  5. M

    Tunafanya networking ya wire au wireless

    Habari Tunafanya networking ya wired au wireless kwa ajili ya ofisi kwa bei poa tu Kazi yetu ni ya uhakika na vifaa vyetu tunazotumia ni za hali ya juu Also tunatoa support baada ya kufanya hiyo kazi Kwa maelezo zaidi unaweza ku pm
  6. M

    Marketing person needed

    Habari Natafuta watu ambayo wanaweza kufanya marketing na nitakuwa nawalipa kwa kila mteja watakaemleta Kwa maelezo unaweza ku pm
  7. M

    Nakodisha Tally license

    Habari zenu, Kwa wale wanaohitaji Tally.ERP 9 original version lakini hawawezi ku afford gharama ya kuinunua, tunayo license za kukodisha Kwa maelezo zaidi unaweza kuuliza Ahsante
  8. M

    Tally.ERP 9 software

    Habari zenu, Sisi tunatoa huduma ya installation, training, na implementation ya Tally.ERP 9 Tally ni accounting software ambayo kwa sasa inatumika na biashara nyingi ku maintain accounts books zao Kuna aina mbili ya Tally kuna single user na multi user, sisi tunazo za aina zote hizo Pia...
  9. M

    Kozi ya tally

    Tally training ya: 1. Kucreate masters ya accounts na inventory 2. Kupost vouchers kama vile petty cash, invoice, payment n.k 3. Kuview na kuprint reports na kuexport hizo reports kwenye pdf, excel n.k Iyo ni private training na qualified teacher wa accounts na tally mwenye uzoefu wa miaka 3 wa...
Back
Top Bottom