Maisha ya wanadamu hupangwa na Mungu ila kijituma na kutokata tamaa ndo msingi wa mafanikio kwa mwanadamu, Katika kijiji kimoja alikuweko kijana aliyeitwa Amour, Amour alikuwa na umri wa miaka 15, KIjana huyu hakuwa na elimu ya darasani lakini Mungu alimbariki Hekima, Ucheshi na Busara kwa kila...