Recent content by Mnyama mkalii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Kaka ninao wengi sana na kila nikijaribu huwa naishia moja tu uume unasinyaa hadi sihisi kitu hasa nikiwa natembea nimeshaadhirika zaidi ya mara tatu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Nimeacha muda sasa na siwezi kurudi kaka tatizo haya madhara yake yananinyima raha jamani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Kaka vipi kuhusu hiz damages zilizitokea hasa kwenye viungo vya uzazi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Kaka nimeacha tatizo napata wanawake lakini nikifanya moja tyu siwezi tena uume ni mdogo na hauna nguvu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    Mimi ni kijana wa miaka 25. Nilianza mchezo wa kujichua tangu nikiwa na miaka 14, tangu kipindi hicho nimekuwa pia mdau mkubwa wa kutizama picha za ngono. Kitendo hicho kilichodumu kwa zaifi ya miaka kumi kimenipelekea kuwa na madhara makubwa katika mwili wangu hususan katika viungo vya uzazi...
Back
Top Bottom