Jana nilitangaza kuuza pikipiki yangu,,asanten kwa wote mlionishaur naambatanisha na picha,,pikipiki ipo posta karibu na ofisi za bot!! Document zote ninazo,,ina bima lakin third part inaisha mwez ujao!! Haijafunguliwa mashine zaid ya service za kawaida!! Pikipiki nilikuwa naitumia kwa matumiz...