mmh jaman umri wafanye 28 mwisho na wengne wenye elimu ya juu tupate fursa ya kujiunga na jkt ili tupate maarifa ya kujiajiri kwa kweli hawatendi haki kabisa kwa wasomi wa nchi fursa hii huwa niya wachache kwa kweli.
acha ujinga dogo watu wameuliza wenye nia wanataka kwenda huko we unasema nawashape mind kama wasinge kuwa na mind za kwenda huko!wasinge uliza sasa wewe fanya yako acha na wengine wafanye yao kulingana na wanavopenda xawa ndugu usilazimishe wawe kama wewe let them do what they want!
jkt wa2 wa ajabu kwl miaka inapaswa isogezwe hadi 29,ili wa2 wapate fursa ya kwenda huko bt Gvt is just prayng a loten Game with educated civilian until when my country with wakubwa wa vyombo hv watatambua hlo?na kulitilia maanan?shame on them
Magereza mbona wamefanya fair na wamepambanua vzr 18-23 wasio na ujuz na 18-28 kwa wenye taaluma kwa nn chombo hk hakifanyi ivyo kwa nn?mpambanuo wa kwa nn na wenye mashko unahtajika ili wa2 2elewe 2sifanye siasa za kusikia real thnkng is need
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.