Lathe machine kubwa urefu mita 3, swing overbed 800mm, 3jaw chuck na 4 jaw chuck bado mpya bei mil 30m maongezi yapo.
Mashine ya kutengeneza misumari complete set bei 40m, inchi 2.5 mpaka inchi 6, kwa siku inaweza kutengeneza tani moja.
Mashine ya tofali toka china, nne kwa mara moja bei 20m...