Maisha ya mwanadamu ni mfumo au mzunguko unaohusisha hatua mbalimbali hadi kukamilika kwake. Hatua za Maisha ya binadamu zinajumuisha utoto, ujana, utu uzima na uzee. Katika Maisha ya kawaida kila mwanadamu anapokuwa mtoto anahitaji uangalizi mkubwa na wa karibu Zaidi kutoka kwa wazazi au...
FURSA ni kitendo Cha kuepo au kupatikana kwa nafasi au kazi au jambo lolote ambalo linaweza kumuingizia MTU kipato. Jambo hili linaweza kuwa ni jambo kubwa au dogo, vilevile FURSA inaweza kuhusisha kazi za ofisini au kazi za mitaani, zote hizi ni FURSA kwasababu zina uwezo wa kutuingizia kipato...
TUPO KATIKA DUNIA YA MASHINDANO, WASHINDI NA WATU WAO NDIO WATAPATA RAHA NA AMANI YA DUNIA.
Maisha yetu ya kila siku yanahusisha harakati tofautitofauti ambazo tunazifanya katika mazingira mbalimbali. Harakati hizi kwa kawaida huwa na lengo kuu moja la kutuingizia kipato ili tuweze kuendesha...
Kaka Shabani, ni kijana mwenye historia ndefu na ya kipekee katika maisha yetu ya siku hizi. Huyu ni mkaka anayemiliki pikipiki zipatazo ishirini na tano na viwanja katika maeneo mbalimbali, katika hali isiyo ya kawaida siku moja ilimlazimu atoe historia yake kutokana na tuhuma na hujuma...
Asili ya mwanadamu ameumbwa na MUNGU na akajaaliwa kuwa na neema tofautitofauti katika mwili wake. Neema hizi amepewa mwanadamu ili apate urahisi katika kuendesha maisha yake hapa ulimwenguni.
Katika neema kubwa ambazo sisi wanadamu tumebarikiwa naweza kusema ni neema tatu ambazo ni kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.