Recent content by Miss Worms

  1. Miss Worms

    JamiiForums Msaada: Napata hedhi isiyoisha!

    Asante nashukuru kwa mchango wako mkuu
  2. Miss Worms

    JamiiForums Msaada: Napata hedhi isiyoisha!

    Habari Wataalamu! Hedhi yangu huwa inachukua muda wa siku 4 hadi 5 kuisha, lakini kwa sasa imechukua siku 8 na bado inaendelea kutoka. Pia hedhi kwa kawaida huwa inaambatana na tumbo kuuma ila kwa sasa halijauma hata kidogo na hata dalili nyingine za kwamba nipo period sijapata. Kuna muda...
Back
Top Bottom