Recent content by mirry kirungi

  1. M

    Karibuni sabuni za aina zote

    Nauza sabuni nzuri za kusafishia tiles na msink,sabuni za maofisini kudekia na sabuni za vyombo litre 1 3000 Litre 5 10000 Pia tuna viungo vizuri cha chai,pilau na mchuzi mix karibuni sana Pia tunafanya deliver bure kwa dar 0658696008
  2. M

    Nasumbuliwa na harufu mbaya toka tumboni kupitia kinywani

    Hii kitu yanisumbua sina raha kabisa us acid reflux inanisababishia kubeua sana na mdomo kutoa harufu mbaya
  3. M

    Habarin

    Habari wapendwa mwenye kujua dawa za gesi na acid anisaidie za hospitali naona sipati nafuu msaada tafadhali nabeua sana
  4. M

    Dawa ya gesi na acid

    Habari wapendwa mwenye kujua dawa ya gesi na acid anielekeza kwani za hospitali hazinisaidii nabeua sana
  5. M

    Msaada: Tiba sahihi ya H. pylori

    Naitaji msaada, mwenye kujua tiba ya H. pylori nipo katika dozi ila bado nateseka natumia helgo kit namaliza jumamosi mwenye kujua tiba anisaidie.
Back
Top Bottom