Asante kwa kuniunga mkono. Nakubaliana na wewe Kuna madhaifu mengi katika mfumo wetu wa Elimu. Na kwenye andiko , nililoandika nimegusia umuhimu wa kuboresha elimu ya awali yaani chekechea pamoja na Elimu ya msingi. Kuboresha elimu za juu na kuacha ya awali ni kukata matawi na kuacha mizizi ya...
Ni wajibu wa serikali kuhakikisha watu wake wanapata Elimu Bora. Haikosei lakini kufanya maboresho kwenye sekta ya Elimu kutasaidia jamii na taifa kiujumla.
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...!
Ni kawaida kusikia Tanzania kufananishwa na nchi mbalimbali barani Afrika hasa katika nyaja za kiuchumi, kisiasa, kijamii na utamaduni. Na tumeziona nchi za Magharibi kama mfano katika nyanja hizo na muda mwingine imekuwa ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.