Habari zenu wandugu,
Nimeanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, sasa nina changamoto ya soko la uhakika: natafuta soko la maziwa kwa ukanda wa Mbande hadi Mbagala, kwa sasa ninauwezo wa lita 10 kwa siku, ila kuanzia mwezi wa kumi ni nitakua na uwezo hadi wa lita 30.
Bei ni elfu mbili kwa lita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.