Tunapatikana Mbezi ya kimara na mwenge Dar es salaam, kwa wateja wa jumla tunasamba popote ulipo.
Kwa mawasiliano tupigie simu no; 0756587380 na 0656627804
Karibuni sana.
Punguzo bei tray za mayai.
=> Bei imepungua, waweza pata tray za mayai kwa bei ya tsh 6000/=tu,
=> kwa wateja waliopo Dar, tunakuletea popote ulipo,
=> kwa mawasiliano zaidi, tupigie kupitia simu no; 0756587380, 0656627804
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Mimi ni mfanya biashara wa kusambaza mayai ya kuku wa kisasa.
Tuna uwezo wa kusambaza tray za mayai hadi 300/siku kwa bei nafuu ya shilingi za kitanzania tsh 6500/=
Mahali nilipo; nipo mwenge Dar es salaam, kwa wateja waliopo Dar es salaam utaletewa mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.