Sisi hufanya yale yanayotuvutia. Kazi yetu ni sehemu ya maisha yetu. Tunaamini kuwa ili tujivunie na tufurahie kile tukifanyacho ni sharti tukifanye kwa umaridadi. Tunaamini kuwa ili tufanye jambo kwa umaridadi ni lazima kwanza tulipende jambo hilo.
Tunapenda kununua na kuuza. Tunapenda kushirikisha wengine katika ujuzi wa kununua na kuuza. Kwa kufanya hivyo basi Tunakuza Maarifa na Kuboresha Ustawi. Na hii ndio dhima yetu kuu. Kukuza Maarifa na Kuboresha Ustawi. Tunaongozwa na msingi wa "Ustawi kwa Wote".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.