Karibuni kujifunza biashara.
Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge (Mtanzania). Na mtaalamu wa biashara ndogo ndogo kwa kutumia social networks ikiwemo jamiifolum, Websites and...