Mkuu, ni kwa wanaohitaji, kama humhitaji basi tulia tu.
Hii ni huduma, privacy ya mteja ni Jambo muhimu, sio wote wapendao kila wanachochagua kua kama maonyesho ya saba saba, au unataka kujua budget za watu?
ukihitajika pia karibu PM au WhatsApp .
Barikiwa Mwalimu.