Nyumba inaukubwa wa SQM- 450 ,Ipo karibu na ghorofa za NHC na chuo cha DUCE.
Nyumba ipo katika eneo tulivu kabisa wenyeji wa eneo hili wanaita hii Nyumba kijiji kutokana na Nyumba nyingi zilizopo ndani ya UA moja na kila Nyumba ndani yake ina Luku yake, Sebule, jiko, toilet na vyumba viwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.