Recent content by Meant Test

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukohoa usiku

    Kumbe ni tatizo la watu wengi maana wewe nj mtu wa nne ,hata mimi niko hivo hivo huu ni mwezi wa tano sasa. Sijui tatizo ni nin?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muwasho sehemu za siri

    Tumia dawa za kumeza yaan flucunazol dosage na cream ya clomatizole bila kusahau usafi tu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya maji ya kunywa katika kutibu Vidonda vya Tumbo na Bawasiri

    Nimekubaliana na ushauri huu kwa asilimia 100 , maana baada ya kusoma huu uzi na kuanza kunywa maji mengi huwezi amini madonda ya tumbo yamepona kwa asilimia kubwa . Ubarikiwe uliyeanzisha huu Uzii[emoji123]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kundi ya kundi la damu (blood group) na Uchumba/Mimba/Ujauzito/Mtoto

    Madhara gan tena ikiwa wote mko B±
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    Polee ,hapo nahusi dawa za Antibiotics mwilini mwako hazifanyi kazi tena
Back
Top Bottom