Recent content by Mdaka Mdaka

  1. Mdaka Mdaka

    SoC02 Je, Nchi yetu mali ya nani?

    JE, NCHI YETU MALI YA NANI? Nikiwa kijana niliyehitimu Elimu ya Chuo kikuu mwaka huu wa 2022 katika shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma. Nilitumia muda wangu mwingi kujifunza kuhusu jamii yangu, Nchi yangu, Bara langu na Dunia kwa ujumla, huku nikiamini elimu yenye manufaa, niutajiri...
  2. Mdaka Mdaka

    SoC02 Barua kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ndugu msomaji unaombwa kupigia kura chapisho hili k wa kubofya hiko kialama chakijani cha ^ chini ya post, pamoja na kutoa mchango wako juu ya Barua hii. Asante.
  3. Mdaka Mdaka

    SoC02 Barua kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta maendeleo. Mwalimu; uliwachukia maadui watatu waletao udhalili; umaskini, ujinga na maradhi...
Back
Top Bottom