Recent content by mconmfr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    hati hapana mkurugenzi.. ni nyaraka za serekali za mitaa.. nadhani unazitambua kama ni myenyeji kwenye mazingira ya nyaraka hizo..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    besti hembu tumia akili kidogo tuu sio nyingi kiasi cha kufaulu PHD yako... kiwanja cha ukubwa huo kigamboni dege, kwa bei ya mil 4 kiwe na hati? bu mtu hapo juu kwamba nyaraka ni za serekali za mitaa.. labda kama huelewi haya mambo ya hati unafikiri unavyoona wewe ni sahihi.. utapeli upo iwapo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    karibu kama utakikuta... nyaraka ni za serikali za mitaa, usiwaze habari za title usije poteza muda wako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    mkuu mzoefu sana ww wa mabasi na teni, ulipatikana huko nn????? this is serious issues plz be serious au tuache tuendelee na yetu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    mkuu tumia namba hiyo hapo juu, kupata maelezo zaidi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    tumia namba hiyo kupata maelezo zaidi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni nne (4) ukubwa 25m kwa 30m dege kigamboni, installment payment inaruhusiwa

    Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 kwa 30, kipo dege kigamboni, unaweza kulipa kwa awamu kama huwezi kulipa yote kwa pamoja, kwa mawasiliano zaidi piga 0767098760.
Back
Top Bottom