Recent content by mbuya ambrosi

  1. M

    JamiiForums Je, kuna madhara gani ukimwagikiwa na maji ya moto kichwani.?

    Nina rafiki yangu ashawahi kumwagikiwa na maji ya moto kichwani yaliyo chemka na kutokota, kwa sasa ana hali Kama ya kusahau vitu, nilitaka kujua madhara ya ndani ya uongo kutokana na kumwagikiwa na maji ya moto kichwani. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom