Recent content by maurice99

  1. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
  2. maurice99

    House4Sale INAUZWA NYUMBA INAUZWA TANGA

    Nyumba ipo Pongwe Tanga * Rooms 3 kimoja master *Sebule *Dinning *Open Kitchen *Public Toilet
  3. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    hahaha...imenibidi nicheke kwanza,ndugu mchangiaji kama hujafika eneo husika basi usicomment utaharibu biashara za watu kwa jambo usilofahamu fika kwanza lafu ndo useme
  4. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    nimemwelewa vizuri kabisa na viraka hvyo anavyosemea ndo itakuwa moja kati ya marekebisho yake
  5. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    manunuzi ya kitu chochote ambacho sio kipya lazima yawe na marekebisho ili uweke sawa na uhitaji wako
  6. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    mazungumzo yapo
  7. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    panaumbali mrefu kutoka kiwanda cha mawe,na kuhusu vumbi la kiwanda sahv wamerekebisha kiwanda hakitoi vumbi kabisa
  8. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  9. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Hapo ndo unapokosea mwenye mali ndie ninaeuza...Hamna udalali hapa
  10. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    achana na hayo ya 370m bei elekezi ni 53M
  11. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Yashapita hayo tuombeane dua naweza pata mteja.
  12. maurice99

    House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Okay sawa..hayo ndo mambo ya msingi ungenikumbusha hvyo wala isingeleta utata..Shukran
Back
Top Bottom