Recent content by Maurer

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Watty mathewson nahisi kama unaufahamu namambo haya ya uandaaji wa cinema?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Wyatt,Asante kwa maelezo yako namaulizo yako mazuri hizo njia ulizosema zimetika lkn kwangu kupitia utafiti nilofanya nakubaini Mfumo mzuri kimauzo ninalo labda tuonane.ama niongee na nawenzangu
  3. M

    Nakaribisha mawazo yako kalaydo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Ila tukitaka kuzifikia runinga tunaweza kuwaona
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Hapana mkuu hatuna mkataba na tv yoyote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Wyatt,Asante kwa maelezo yako namaulizo yako mazuri hizo njia ulizosema zimetika lkn kwangu kupitia utafiti nilofanya nakubaini Mfumo mzuri kimauzo ninalo labda tuonane.ama niongee na nawenzangu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Ndiyo maana nikaamua kutimiza NDOTO zangu kwakuanzisha kampuni yausambazaji filamu ila ili lengo lauzarishashi litimie tunahitaji kupata msaada mkubwa kutimiza hilo,niseme Asante kwa ushauri ila tunahitaji msaada kuiokoa tasinia hii kampuni hii iko serious juu ya hili ndugu,dikir,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Nakujibu ndugu dikir kab can 1,Uandaaji wa cnema nighari sana tukimaliza tukawa na ile master mkononi Unaipeleka sokoni nipesa kiduchu sana tunapewa hata mtaji wetu mkubwa tulijaribu kuendelea kuuza kwa mategemeo yapengine soko litabadirika lkn wapi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Asante kwa mtazamo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafadhili mradi wa usambazaji soko lipo la filamu

    Habari zenu Ndugu zangu naitwa innocent ninajambo nahitaji msaada kimawazo mie nimkongwe kwenye tasinia ya uandaaji wa filamu ninakampuni iliyosajiriwa hii kampuni nimalengo yangu ya miaka iliyopita miaka mitatu iliyopita nilisimamisha kuproducer lengo kufanya utafiti kimya hasa soko linataka...
Back
Top Bottom