Recent content by Mathias kilongo

  1. M

    SoC02 Changamoto za kiusalama zinavyoisumbua dunia ya leo

    Kwenye maisha yetu ya kila siku usalama na haki ya kuishi ni jambo muhimu sana kuliko mahitaji yote lakin kwa dunia ya Leo swala la usalama wa maisha linazidi kuwa changamoto kila kukicha. Ni wazi utakubaliana na mimi kwamba dunia ya Leo kiujumla na kwa nchi moja moja zinakabiliana na matishio...
  2. M

    SoC02 Tufanyeje kuzuia uharibu wa misitu na mazingira kwa ujumla

    Sina hakika ila naamini yamefika na pia kikubwa ujumbe ufike
  3. M

    SoC02 Tufanyeje kuzuia uharibu wa misitu na mazingira kwa ujumla

    Nadhani wote tunakubaliana kwamba kuna tatizo kubwa sana la ukame na kitu kinachoitwa tabia ya nchi ambayo inapekekea kukosa mvua za kutosha na kusababisha ukosefu wa chakula cha kutosha nchini. Nilisafiri mara kadhaa na kujionea uharibifu mkubwa wa misitu kwenye mikoa ya geita, shinyanga...
Back
Top Bottom