Recent content by Mathias Isaack

  1. M

    Maumivu ya kifua

    Asante nimeona sababu za kifua kuuma lakini nimefanya cherck up ya Moyo ECG na ECHO nikaambiwa sina tatizo la moyo lakini bado napata maumivu na kichwa kina vurugu nyingi sana kama sio mimi yaani siwezi kupanga ratiba ya mambo yangu kabisa naomba ushauri wako namba 0754418184
  2. M

    Kifua kuwaka moto na mgongo

    Dr naomba msaada wako mapigo ya moyo yako juu nahisi vidonda vya tumbo gesi inapanda mpaka kifuani nahema kwa shida kifua kitabana na kuuma mpaka gesi itulie kichwa kama kina wenge na kizunguzungu
Back
Top Bottom