AFRIKA USISAFIRI, TANZANIA USIHAME
Kwanza nilishtuka kwa mshangao wa bashasha baada ya kuona maneno ya Kiswahili katika ardhi ya Korea, “Afrika Safari” ndivyo yalivyosomeka huku yakipambwa na picha za wanyama wa aina mbalimbali kama vile Simba, Chui, Twiga, na Tembo. Furaha yangu ilianza...