Hellow Dears.. Nashukuru sana kwa namna mnavyoendelea kuvote... Nazidi kuwakaribisha wengine pia kunipigia kura... Jinsi ya kufanya ni kwenda hadi Chini ya hiyo story Yangu then utakutana na Neno Vote utabofya hiyo alama ^.. karibu pia kwa maoni na ushauri...
Iko poa sana mkuu.. umetufungua wengi.. tunasubiri hizo makala nyingine ili tuzidi kufahamu mengi juu ya afya ya akili.. tembelea na kwangu pia tuweze kusapotiana.. kwako nimeshavote
https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-zingatia-mambo-haya-utafanikiwa-haraka.1893752/page-2#post-39785791
Ni kweli kabisa... Lakini hatutakiwi kushindwa.. kwa sababu hiyo ni miongoni mwa njia kubwa za kukufikisha Kwenye mafanikio uliyoyatarajia... Na utayafikia endapo utasimamia kile unachokiamini bila kuyumbishwa na mtu au kubadilishwa fikra zako... JIFUNZE KUSEMA HAPANA SIMAMIA MALENGO NA NDOTO ZAKO..
Karibu kwa maoni rafiki.. zaidi NAOMBA sana kura yako.. sehemu ya kupiga kura iko chini ya andiko langu utoana neno Vote na alama ^ wewe utabofya tu hiyo alama na uhakikishe namba ya kura imeongezeka... Asante sana...
Hapo Kwenye nguvu ya kutoa ni mada pana kidogo kama nilivyosema hapo juu, but tunachopaswa kujua ni kwamba kutoa si lazima uwe na kingi hata unapotoa Kweny kile kidogo ulichonacho kwa moyo wa kupenda na kwa imani ndipo unapobarikiwa na kufanikiwa zaidi, lakini pia kutoa si lazima iwe pesa, kama...
Safi mkuu.. ila jitahidi kuhakiki andiko lako zaidi kabla ya kulipost maana kuna maneno mengine hayako sahihi.. tembelea na kwangu pia kwako nimevote
https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-zingatia-mambo-haya-utafanikiwa-haraka.1893752/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.