Zanzibar hakuna mibuyu sijjua wanaichukua wapi lakini nadhani ni dodoma,sina uhakika ila ni mitamu sana ukitofautisha na ya hapa dsm sijajua kipi kinatiwa lakini kiladha nitofauti sana na ya kawaida
Habari zenu ndugu zangu,nimemaliza degree ya procurement and supply,kutokana na ugumu wa ajira kua ngumu nimeamua kujiingiza katika biashara,ninachukua ubuyu zanzibar na kuuza hapa dar es salaam na mikoani pia ninaituma kwa anaehitaji!
Kg1 ni 3500,
kindoo cha lita 10 ni 35000,
kiglasi kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.