Recent content by MaraVeteran

  1. MaraVeteran

    SoC01 Elimu ndiyo Balozi namba moja wa mabadiliko

    Elimu ni dhana inayoelezewa kwa namna nyingi na kufafanuliwa kulingana na mahala, wakati na shughuli. Elimu ni uhamishaji wa maarifa, mbinu na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja, jamii moja au kizazi kimoja kwenda mtu mwingine, jamii nyingine au kizazi mingine. Moja kati ya viashiria vya elimu ni...
  2. MaraVeteran

    SoC01 Uhusiano wa Siasa, Jamii na Uchumi

    Hapo ndipo changamoto ilipo, hata maisha yetu ni mabovu kwa kuwa mitazamo ya maisha yetu ni mibovu na hii imetokea pale tuliposhindwa kubalance mtazamo mmoja ukapewa nguvu na matokeo Ndo haya.
  3. MaraVeteran

    SoC01 Uhusiano wa Siasa, Jamii na Uchumi

    Maisha yana mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni mtazamo wa kisiasa, mtazamo wa kijamii na mtazamo wa kiuchumi. Mitazamo yote mitatu kwa kila mmoja wapo huweza kuungana na mwingine ili kuzalisha mtazamo mdogo. Kwa mfano Siasa ikiunganishwa na jamii huzalisha siasa jamii, uchumi ikiunganishwa na...
Back
Top Bottom