Recent content by Manventure

  1. M

    SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    It's real a fact. Ni sahihi usemalo.
  2. M

    SoC02 Mapambano ya kutokomeza Malaria

    Hili andiko sikutag @shindanolauandishi. Sijui watalionaje? Kwa anaefahamu namna JF @JF wanàweza kuliona msaada please
  3. M

    SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    Nimeona Instagram wamesema watatangaza November 18. Nahisi ntakua nishasahau[emoji16][emoji16]
  4. M

    SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    Ni nzuri zaidi sema kwa desturi ya bara letu itakuwa ngumu kupata viongozi wenye weledi kwa wingi kutokana na ufinyu wa nafasi zitazokuwepo. Sema hii ya vyama vingi then bajeti tusubiri wadhamini inatudumaza
  5. M

    SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA. Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza majukumu kwa ufasaha na uangalizi zaidi. Nchini Tanzania mfumo wa vyama vingi vya siasa ulianza...
  6. M

    SoC02 Mapambano ya kutokomeza Malaria

    MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA. Malaria ni ugonjwa unaoambukizwa na mbu jike aitwaye anopheles. Mgonjwa anaambukizwa na mbu jike mwenye vimelea vya plasmodium. Mbu huwa na mazalia maeneo yenye majani marefu au mengi, maji yaliyotuama kama madimbwi, visima, na maji ya mvua yaliyotuama. Takwimu...
  7. M

    SoC01 Mabadiliko ya Mifumo ili kuchochea maendeleo

    Maendeleo ya taifa yanachangiwa na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na mifumo na sera zilizopo kwenye nyanja mbalimbali kama uchumi na biashara, afya, maendeleo ya jamii, utawala bora, demokrasia, kilimo, sayansi na teknolojia, haki za binadamu. Mabadiliko kadhaa yanaweza kufanywa kwenye hizi...
  8. M

    SoC01 Maboresho ya Nyanja za Uchumi kwa Maendeleo

    MABORESHO YA NYANJA ZA UCHUMI KWA MAENDELEO Maendeleo ya jamii au taifa lolote huchochewa na watu wake, mifumo ya utendaji na uchapakazi. Mabadiliko na udhibiti wa utendaji ni moja ya silaha kubwa katika kuchochea maendeleo na ufanisi ndani ya Taifa. Katika nchi yetu Tanzania kuna haja ya...
Back
Top Bottom