Recent content by manka04

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuangaika na maji ya DAWASCO, chimba kisima kwa bei nafuu sasa

    asante sana Zebanga, nitajipanga basi nikuite kuja kupima tuone kama tuna maji.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuangaika na maji ya DAWASCO, chimba kisima kwa bei nafuu sasa

    asanteni sana kwa majibu, Je kutokana na ujuzi wenu mmewahi kuchimba maeneo hayo?changanyikeni/makongo, na mnakisia itakuwa mita ngapi kwenda chini? asanteni sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuangaika na maji ya DAWASCO, chimba kisima kwa bei nafuu sasa

    Kupima ili kujua maji yako mita ngapi ni bei gani? tulikuwa na mpango wa kuchimba kisima changanyikeni/makongo. natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom