Recent content by mangyi

  1. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje nimpende mama yangu hii kitu inanitesaa saana msaada

    Ushatupa jibu. Humpendi kwa sababu NI MASIKINI
  2. mangyi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mnajifunza nini kwa wenzenu huko Kenya kuhusu maandamano ya Generation Z?

    Haijifunzi lolote maana Tz hyo Generation haiwezi kutokea kamwe H
  3. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona muda si mrefu naweza kufanya mambo ya Agano la Kale

    Au angemzaa kama mwembe watu tupate kivuli na matunda
  4. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona muda si mrefu naweza kufanya mambo ya Agano la Kale

    Ni hawa hawa vijana wanaotakiwa kusimama kwa hoja kuchuana na serikali ili ikae sawa? Tanzania tumelogwa na mwenge unaoitwa "Wa uhuru"
  5. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Ingekuwa wewe ungefanya nini?

    Singehudhuria mazishi yake maana ningekua jela
  6. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta!

    Amtoka kukuombea utoke uchumi wa kati
  7. mangyi

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Google translator ina kiswahili kibovu boss. Usirudie tena
  8. mangyi

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Wanunuzi wenyewe hawajanyooka
  9. mangyi

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kusikia Polisi wanadukua Account zetu za Mitandao ya Kijamii

    Kuna watu walimuona Hamza ni fala.
  10. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada 4 muhimu za kuongea na mwanamke ili kujuana zaidi

    Punguzeni ushauri jamani. Mnasababisha watu wafeli kimaisha
  11. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu?

    Unafeli wapi mkuu. Kashakwambia kua mchepuko. Unakubali then unamdunga mimba.
  12. mangyi

    JamiiForums Tanzania Polisi, bunduki Hanang ni za nini?

    Ni moja ya kitendea kazi chake
  13. mangyi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyemnunulia chupi 12 juzi leo kaniacha, nataka chupi zangu

    Komaa bro. Usikubali ziende kizembe. Ukiona anazingua kurudisha nenda na wazazi wako huko huko kwao
  14. mangyi

    JamiiForums Tanzania JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Nimeona hapo "LOVE IN ACTION"
  15. mangyi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Mkuu hii issue imewahi kunikuta kwa mtoto niliyempeleka hospitali flani. Alifanyiwa CT scan kwa maelekezo ya daktari wa hospitali A kwa kigezo kwamba ya kwao imeharibika. Gharama zilikua kubwa na kwa uwezo wa Mungu tukalipa. Tumeleta CD daktari mwingine anasema hawezi kuisoma kwa hiyo tukarudie...
Back
Top Bottom