Recent content by MAN FROM PAWAGA

  1. MAN FROM PAWAGA

    Stephen Wassira kutangaza nia Mwanza Jumapili hii 31/05/2015

    kwa hiyo wewe ulitaka haki hii iwe ya wachache?yeyusha ubongo wako hata upate kujitambua tu wewe mwnyewe.
  2. MAN FROM PAWAGA

    Stephen Wassira kutangaza nia Mwanza Jumapili hii 31/05/2015

    Ha!kwa hiyo typing error huwa ina maanisha haujui kuandika?Onesha basi elimu yako hata kidogo kwenye hiyo kauli yako.
  3. MAN FROM PAWAGA

    Stephen Wassira kutangaza nia Mwanza Jumapili hii 31/05/2015

    Tutafika tu,kwani ni mtu pekee niliye kuwa na ninaye mwelewa kauli na matendo yake.
  4. MAN FROM PAWAGA

    Stephen Wassira kutangaza nia Mwanza Jumapili hii 31/05/2015

    Wewe sema tu lakini mie kwa hili,lazima niende tena kwa pesa yangu,sio kununuliwa kama wengine.
  5. MAN FROM PAWAGA

    Stephen Wassira kutangaza nia Mwanza Jumapili hii 31/05/2015

    Kimsingi huyu Mh ameni inspire sana kwa mfumo wa siasa zake.....nitatokea kigoma kuja Mwanza.
  6. MAN FROM PAWAGA

    Wassira amchamba Lowassa kuhusu Shule za Kata

    Kiukweli Mh Wasira hawezi kufanya jambo hilo,mimi mwenyewe nakubali mwandishi kazingua akijua kuwa hiyo stori itampa ulaji kwa kutaja jina la Mh Wasira.......waandishi wetu wapunguze ukanjanja.
  7. MAN FROM PAWAGA

    ITV haikuonyesha mkutano wa Zitto Mwanza yaonyesha wa Mnyika Musoma

    nimekuelewa sana,kwanza ITV hawana uwezo wa kuonesha habari ya leo.......
  8. MAN FROM PAWAGA

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Mh Wasira kama kafanikisha hilo,anastahili siku ya kurejea nyumbani apokewe kifalme.
  9. MAN FROM PAWAGA

    Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Kama wizara ya kilimo ingekuwa inaongea ingesema mengi mazuri juu ya Mh Wasira.
  10. MAN FROM PAWAGA

    Sakata la Wasira Kufukuza kazi mkurugenzi wa RUBADA - Utata mtupu

    Hakuna mtumishi wa serikali anakaimu miaka sita,labda miezi sita,,,,,amechelewa kesha fukuzwa na Mzaleno Wasira na ndio tunavyo taka Watz wote.
  11. MAN FROM PAWAGA

    Sakata la Wasira Kufukuza kazi mkurugenzi wa RUBADA - Utata mtupu

    Jamani hili ndio tatizo la Watz,kiongozi akiwajibisha kwa mamlaka yake kakurupuka,akinyamaza mzigo tufanye nini?Go Mh Wasira your RIGHT.
  12. MAN FROM PAWAGA

    Mbio za Urais: DC aungana na Wasira

    Naomba ni msaidie huyo DC wa Mbeya,kuwa ni Mh Rais Mtarajiwa haina ubishi tunasubiri utashi wa kisiasa kum aprove hapo October.........
  13. MAN FROM PAWAGA

    Mbio za Urais: DC aungana na Wasira

    Mh Dc amesoma nyakati mapema,,,,,,,,ni mjanja sana,kwan Mh Wasira ni mzee wa kimya kimya.
  14. MAN FROM PAWAGA

    Mkoa wa Mara unaendelea kuikomboa nchi yetu

    Hao wazee ni hamnazo.........maana wanakazana kupakuna pahala palipo acha kuwasha......
Back
Top Bottom