Recent content by malizakonimaishayako

  1. malizakonimaishayako

    JamiiForums Tanzania Supplier wa samaki Sangara na Sato kutoka Mwanza anahitajika

    Hapa wamejaa vibaka TU, wasukuma mnatuonaje nyinyi watu wa Dar??
  2. malizakonimaishayako

    JamiiForums Tanzania Supplier wa samaki Sangara na Sato kutoka Mwanza anahitajika

    N SAWA NA MTU KUAGIZA GARI JAPANI BILA KULIPIA CHOCHOTE unasubili ulione kwanza ndio utoe Pesa DUUH !!!!!
  3. malizakonimaishayako

    JamiiForums Tanzania Supplier wa samaki Sangara na Sato kutoka Mwanza anahitajika

    Hapo Hadi wamefika Dar nyie mnakuwa mmechangia Bei GN??
  4. malizakonimaishayako

    JamiiForums Tanzania Supplier wa samaki Sangara na Sato kutoka Mwanza anahitajika

    Condition za Malipo zipoje !!! Mzigo ufike kwanza au unalipa kabla !!kuhusu mzigo kuharibika ondoa Shaka kabisa kwasababu unaletwa na MAGARI YA KUBEBA SAMAKI TU (Yenye madifriza ) ndani ya masaa 18 utakuwa umeupata au unaweza pia kutumiwa kwa ndege WEKA CONDITION HAPA UTALIPAJE!!!
  5. malizakonimaishayako

    JamiiForums Tanzania Marking Point Mwanza Town

    Asante sana kwakujitokeza watu wabunifu kama nyinyi hii shida tunayowengi walimu wengi sana. Nina mitihani yangu ya Practical physics form 3, watoto 30 utanifanyia bei gn mwl??
Back
Top Bottom