Recent content by majitatz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maradhi haya ya ngozi

    kama ngozi itakua na muwasho mtoto anajikuna sana hapati ucngizi, bac itaakua ni pumu ya ngozi, dawa ya kutibu ngozi irudi hali yake ipo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maradhi haya ya ngozi

    Pole sana Ndugu nakushauri nenda Hospitali ya Chuo kikuu cha Dar Es Salaam pale, kuna dactori wa ngozi pale alinibia mwanangu alikua na tatizo sugu la ngozi, anapatikana kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana tu. Nakuomba umuone amebobea sana kwenye matatizo hayo
  3. M

    JamiiForums Tanzania UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

    mi nikajua ukipima mkojo wanajua moja kwa moja shida iliyo kwenye mkojo
  4. M

    JamiiForums Tanzania UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

    asante mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

    unaitumiaje mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

    Nina kama mwezi hizi nilikua nasikia muwasho na maumivu nikikojoa, nikaenda hospitali nikapipa nikaambiwa nina UTI nyingi, Nikapewa dawa inaitwa NITROFULANTION nikamaliza dozi ila bado nikaendelea kupata shida, nikaenda kupima tena nikaambiwa bado tatizo lipo nikapewa dawa inaitwa NIRFLOXACILIN...
Back
Top Bottom