Packages zetu
Bei ya huduma inategemeana na hitaji la mteja husika, kama ifuatavyo;
Kwa mteja ambae tayari ana jiko lake, sisi tutampatia mtungi mkubwa,meter,kadi pamoja na fire blanket kwa tzs 30,000
Kwa mteja mwenye mtungi mdogo wa na jiko, sisi tutambadilishia na kumpa mkubwa pamoja na smart...