Mimi nimemuelewa hivi, mara nyingi tunashindwa kutambua na kupigania hàki zetu kwa kutofahamu lugha za kigeni zinazotumika. Hatujui hàki katika mikataba ya kazi, utakuta mkatabà umeandikwa kiingereza, unaweza ukasaini usichokijua na kujikuta unajididimiza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.