Habari zenu wadau, kama kuna mtu anahama hivi karibuni nahitaji room moja maeneo ya ubungo,makumbusho, kijitonyama na maeneo ya karibu naomba anicheki.kama kodi imebaki miezi kadhaa tutamlipa
Habari zenu wadau, kama kuna mtu anahama hivi karibuni maeneo ya Makumbusho, Ubungo, Kijitonyama na maeneo ya karibu naomba anicheki.
Kama kodi imebaki miezi kadhaa tutamlipa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.