Ila apo ulipomalizia utatuma sample ya nguo za iyo bei apa sijaelewa kwamba we ni mwenzangu kwenye hii biashara? (competitor) ama ulinunulia wanao? maana isije kuwa hii ni sababu ya huu ushauri( ambao kwangu naona haujengi) kutolewa apa. Tupendane nawakaribisha mjionee
Inawezekana ananishauri kwa uzuri lakini angenitafuta pembeni ningejua kweli ana nia ya kunijenga. Apa anachofanya ni kuniharibia, kila mtu anaona pia anaependa anachukua. Apa ni Kama dukani ambapo huwezi kwenda dukani kwa mtu ukapiga kelele nguo mbaya bei kubwa lazima mwenye duka achukie Ila...
Mkuu nimekutafakari, hivi we unadhani kwa nguo hizo inafaa kuuza kiasi gani? Kwanini mnapenda kuua biashara za wenzenu, kama hujaelewa si uende ukanunue za quality nzuri kwa bei poa.. hatuwezi kuwa na same taste naelewa, ni soko huru pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.