Tunajihusisha na masuala ya ujenzi hapa Tanzania, hasa upande wa vifaa vya ujenzi na biashara za hardware.
Tunapenda kushare uzoefu kuhusu gharama za ujenzi, bei za vifaa, na namna ya kupata wauzaji kwa urahisi zaidi.
Pia tunahusika na Mjenzi.co.tz , jukwaa linalolenga kuwakutanisha wauzaji wa vifaa vya ujenzi na wateja sehemu moja.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.