Chadema haina kijana wa ovyo ovyo wa aina yako wa kufikiria tumbo,huku watu wanakuna vichwa. Watu wa akili ya aina yako ni akina nape! Hivi hata tv uangalii vijana wenzio wanavyokimbilia safina?
Endelea kuota ndoto ya mchana kuwa ccm inachukia ufisadi. umepewa masikio ya kusikia,macho ya kuona na pua za kunusa! ccm wanachukia ufiisadi hupi? Chenge ni miongoni mwa mafisadi wa mwembe yanga,jana kajiudhulu/kaondolewa uwaziri leo ndiye mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya fedha na...
On the other hand, it depends much on what you want! If it's spoken english; go through the books,news papers,and for sure through reading or listening Speeches will advance you much!!!!!!!!!
Don't mind lady, it will reach a point of no return where you will be inspiring your English! For sure one will let you know whatever necessary to accomplish yur entire desires!
lowasa kubaki ccm ni hatari na kuendelea kuwemo kundini ni hatari. Ila jamaa haamini kama siasa tayari ameferi,yeye anaona kwakuwa wameuogopa katika gamba anajua anapeta. kwasasa ni m4c
WAcha woga kamanda, mbona tayari wewe hupo kwa wakoloni,unatumia maji yao,vyo vyao,madarasa yao,vyakula vyao,hewa yao,nguo zao,marafiki wao,walimu wao,na kila kitu chao hadi pesa unayotumia huko! Na pengine ukimaliza masomo usirudi huku kwani takuwa umenogewa na wakoloni. Pia kumbuka kuna watu...
unajua kipindi kile watu walikuwa wanatafakari hawa peoples power,tena wenye bendera ya rangi nyingi nyingi ni akina nani? Wanapatikana wapi? Wakoje?Wanansema nini? Wakagungua yafuatayo:
1995..........CDM ilikuwa na wabunge 3 wa kuchaguliwa Karatu,Kigoma Ujiji na Rombo.
2000..........CDM...
Kwa mtazamo wangu kama hata kampeni meneja wa baruhani amejiunga rasmi kwa mkutano mmoja tu,je ikipigwa mikutano 5 itakuwaje si kila mtaa utakuwa cdm. Sasa hivi ni kwamba hata classmonitor ni ccm, hp wa primary schooll ni cdm,n.k! Unajua huu ni wakati wa mabadiliko,cuf tuliwaunga mkono 1995,2000...
Ccm b tayari imeungana rasmi na ccm,hivyo hao ndio ccm b. Yule sabodo atolei pesa gizani,hoja zenu zilikwisha miaka mingi ndio maana hata wewe unaonekana hufahamu chochote
cuf wamejifia wenyewe kimya kimya. Cdm inazidi kuchanja mbuga wewe endeleza uongo wako wa bure bure kwani sasa hivi watuwamefunguka! "uwe jasiri na mwenye moyo wa uhodari,maana wewe ndiye utakeyewavusha watu wangu kutoka utumwani misri" watu wangu wanaangamia kwa kukosa ufahamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.