Recent content by M GABAGAMBI

  1. M

    SoC02 Tatizo la Njaa Bara la Afrika

    Bara la Afrika kwa kipindi kirefu sasa pamekuwa pakikabiliwa na tatizo au baa la njaa japo kuwa nchi za Afrika ni wazalishaji wa mazao ya chakula kwa asilimia kubwa yaani uti wa mgongo wa uchumi wa nchi za Afrika umekuwa ukitegemea katika kilimo.Ni jambo la aibu sana kwa nchi za Afrika pamoja na...
  2. M

    SoC02 Kubadilishwa mfumo wa elimu wa Tanzania

    Upo umuhimu mkubwa sana wa kubadilishwa mfumo wa elimu ya hapa nchini Tanzania kutokana kwa asilimia kubwa kutokidhi mahitaji ya jamii ya Watanzania wengi. Kwa kawaida elimu ya hapa nchini Tanzania imekuwa ikianzia kuanzia chini mpaka elimu ya juu, yaani shule za awali, shule za msingi, shule za...
Back
Top Bottom