Recent content by LWANDAI

  1. L

    Plot4Sale Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

    Kiwanja cha makazi na biashara kinauzwa.kipo dodoma kisasa B center.kina mita za mraba 846.kina hati.na kibali cha ujenzi.tayari kina msingi mkubwa wa mawe tupu.Ni eneo hot cake kwa wanaojua dodoma.Bei mil 70. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. L

    Car4Sale Toyota harrier old model No CGA

    Wadau ninauza gari tajwa hapo juu ya mwaka 2000.gari halina tatizo lolote na haijawah kua na tatizo lolote. Mimi si dalali ni mali yangu.niliagiza mwaka 2013 dec.na imekua mikononi mwangu na chini ya uangaliz wangu muda wote mpaka sasa. Inafanyiwa service kwa wakati na ina km laki na sabini...
Back
Top Bottom