Recent content by Luka Tunyon

  1. L

    Dawa ya kaswende ni ipi?

    Mbona mnanisakama kama kuna mwenye uhakika kuwa ni mimi mwenye hlo gonjwa? toeni ushauri ila acheni kuhisi, yawezekana ni mimi lakini sivyo mnavyofikiria
  2. L

    Dawa ya kaswende ni ipi?

    Ameshaenda na kupima kipimo cha VDRL lakini hakuambia ugonjwa, aliambiwa damu chafu na kupewa PENADU ya kuchoma kila wiki kwa wiki tatu na kufanya hivyo lakini pia huyo ndugu anatokwa jasho kwa wingi kwenye nyayo za migu na viganja vya mikono, baada ya kutumia ile penadu, ila jasho ikakata kwa...
  3. L

    Dawa ya kaswende ni ipi?

    Kuna mtu ana ugonjwa wa kaswende, anaomba ushauri atumie dawa gani?
Back
Top Bottom