Recent content by Luhama

  1. Luhama

    Nahitaji gari used

    Habarini. Bado ninahitaji gari used toka kwa mmiliki yeyote mwenye Vitz, Suzuki Jimny, IST au Suzuki swift. Budget yangu ni 6m
  2. Luhama

    Nahitaji gari used

    Nimefanikiwa kuongeza 500,000. Kwa sasa ofa yangu ni 6m.
  3. Luhama

    Nahitaji gari used

    Habarini wakuu. Ninahitaji gari kati ya IST, Vitz, Swift na Suzuki Jimmy. Budget yangu ni 5.5. Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja. Asanteni.
Back
Top Bottom